MELI YA TAWARIQ 1 YAANZA KUZAMA TARATIBU,BILA KUFAHAMU NINI KITATOKEA.
Tawariq 1 ni meli iliyobaki mikononi mwa Tanzania baada ya kukamatwa kwa wavuvi haramu kutoka bara la Asia waliokuwa wakivua samaki kwenye bahari ya Hindi maeneo yanayomilikiwa na Tanzania na hivyo kutiwa mbaroni kwa kuvua samaki kwenye maeneo hayo kinyume cha sheria. Meli hiyo ilikamatwa ikiwa na samaki aina ya Jodari wenye tani 293 mnamo mwaka wa 2009 ikiwa na manahodha na wavuvi kutoka bara la Asia, waliweza kufunguliwa
kesi hapa nchini na baada ya kesi hiyo mahakama iliamuru meli hiyo kutaifishwa kutokana na kutojulikana na tume inayojihusisha na uvuvi kwenye bahari ya Hindi (IOCT) lakini ikiwa bado imeegeshwa kwenye bandari ya Tanzania tayari meli hiyo imepata uchakavu kiasi cha kutoboka matundu yaliyoruhusu maji kujaa ndani ya meli hiyo na hatimaye kuanza kuzama taratibu huku ikiwa haijulikani nini itakuwa hatima ya meli hiyo kwa manufaa ya Watanzania.

إرسال تعليق