
Naibu
Waziri wa Sayansi na Mawasiliano Charles Kitwanga akifungua mkutano
wa mwaka wa 32 wa Umoja wa Taasisi za Mawasiliano Kusini mwa Afrika
unaofanyika kwa siku mbili unaojadili mambo mbalimbali katika
mawasiliano ya simu ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya kidigitali, mkutano
huo unahudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 14 za (SAADC) Zimbabwe,
Namibia, Botswana, Malawi Msumbiji, Afrika Kusini Rethoto na Tanzania .
Chanzo:- Father Kidevu
إرسال تعليق