MSANII RICH ONE AFIKISHWA POLISI KWA KUJIFANYA ALLY KIBA MUDA MCHACHE ULIO PITA

MSANII RICH ONE AFIKISHWA POLISI KWA KUJIFANYA ALLY KIBA MUDA MCHACHE ULIO PITA

Rich One mwenye t shirt nyekundu msanii wa TMK WANAUME HALISI akiwa kafikishwa polisi tayari.

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya,Rich One amefikishwa kwenye kituo cha polisi Msimbazi Dar es salaam muda mfupi uliopita kwa tuhuma za kutapeli, kula hela za watu akijifanya yeye ni mwimbaji Ally Kiba ambapo inaaminika yeye (Richone) alifanya utundu ambao Kiba akipigiwa simu haziendi kwake, zinakwenda kwenye simu ya Rich ndio anazipokea na kula hizo pesa za show.Zaidi sikiliza baadaye kipindi cha Amlifaya ya Clouds FM
Habari kwa hisani ya Millardayo.com

Post a Comment

Previous Post Next Post