Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa
Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, na Makamu wake wawili, Maalim Seif na
Balozi Seif Idd, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiwa katika picha ya
pamoja kwa kumbukumbu na Viongozi wateule na wajumbe wa Tume hiyo baada
ya kuapishwa rasmi. Tume hiyo inatarajia kuanza kazi rasmi Mei 01, mwaka
huu. Picha na Muhidin Sufiani-OMR. Picha kwa hisani ya http://johnbadi.blogspot.com/ |
إرسال تعليق