WABUNGE HALIMA MDEE WA CHADEMA NA ESTER BULAYA WA CCM - WAANZISHA KAMPENI YA KUMSAIDIA LULU NA FAMILIA YAKE





Mbunge wa kawe/Chadema Halima mdee yeye pamoja Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) jana walienda kumuona Lulu, na kwa wakati huu Mh Halima Mdee kupitia mtandao wa Tweeter anaendesha kampeni ya Kuchangisha Pesa za malazi kwa ajili ya familia ya Lulu (mama yake).
Mh.Halima mdee amesema kwamba lulu anahitaji mwanasheria makini wa kuweza kumnasua kwenye kesi hiyo, lakini pia anahitaji mwana saikolojia (psychological support) wa kuzungumza nae ili aweze kuwa fresh kiakili. kwa wakati huu Lulu anashikiliwa katika kituo cha polisi Oysterbay
Kwa hisani ya:- .pekuatz.com

Post a Comment

أحدث أقدم