CHADEMA Yafunika Mtwara

Aliyekuwa
Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CHADEMA, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa M4C, kwenye
Uwanja wa Mashujaa mjini Mtwara, jana.

Sehemu
ya maelfu ya wananchi wa mji wa Mtwara na vitongoji vyake,
wakiwasikiliza viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
katika mkutano wa hadhara wa M4C (Movement For Change), uliofanyika
kwenye Uwanja wa Mashujaa.
Picha na Joseph Senga via Francis Dande
Picha na Joseph Senga via Francis Dande
Post a Comment