KIJANA MDOGO MKAZI WA KIGOGO AJINYONGA NA KUFARIKI KISA NI UGUMU WA MAISHA
Marehemu akionekana kwa nyuma.
Mke wa marehemu akilia kwa uchungu.…
MWANAMME
mmoja ambaye hakutambulika jina lake, aliyekuwa mkazi wa Kigogo-Mbuyuni
jijini Dar es Salaam asubuhi ya kuamkia leo (Mei 29), amejinyonga kwa
madai ya ugumu wa maisha uliosababishwa na kukosa ajira.
Wakizungumza
na mtandao wa huu, baadhi ya majirani ambao walihojiwa walisema kuwa
jamaa huyo kwa muda mrefu alikuwa hana kazi hivyo kumsababishia ugumu wa
maisha ambao ulikuja kumfanya ajinyonge.
“Siku
zote mwanaume ameumbwa kutafuta riziki na si kukaa kusubiri kuletewa
riziki. Jamaa huyu alikuwa akikaa tu nyumbani akimuachia mkewe aende
akatafute riziki, matokeo yake ndio haya,” alisema jirani mmoja
aliyekuwepo eneo la tukio.
(Picha/ Habari: Shakoor Jongo /GPL)
إرسال تعليق