MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA IRAN KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA IRAN KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakati alipowasili
Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam kwa mazungumzo leo Mei 30, 2012. Makamu wa Rais wa Iran
amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, baada ya
kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, leo Mei 30,
2012, (kulia) ni Waziri wa Kazi wa Iran, Sheykhales Lam (kushoto) ni Mkarimaniwa Makamu wa
Rais wa Iran.Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku
tatu. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, akiweka saini katika kitabu cha
Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(katikati) wakati alipofika Ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo leo Me 30, 2012. Kulia
ni Waziri wa Kazi wa Iran, Sheykhales Lam. Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa
ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakati alipofika Ofisini
kwake Ikulu Dar es Salaam leo, Mei 30, 2012 kwa ajili ya mazungumzo. Makamu wa Rais wa
Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.Picha na Muhidin Sufiani-
OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, leo Mei 30, 2012.
Makamu wa Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Picha
na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na Makamu wa Rais wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakiwa katika mazungumzo maalum,
katika ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Dar es Salaam leo Mei 30, 2012. Makamu wa
Rais wa Iran amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.Picha na Muhidin
Sufiani-OMR

Post a Comment

أحدث أقدم