MISS INTERCOLLEGE SOUTHERN HIGHLAND ZONE 2012
Mshindi
namba moja aliyekaa kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa, Kushoto kwake
ni Mshindi wa Pili kutocha Chuo cha TIA na kulia ni Mshindi wa Tatu
kutoka Chuo Kikuu cha TEKU
Warembo
12 kutoka Vyuo vikuu kutoka Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiwa
jukwaani katika Shindano la kumsaka Miss Intercollege Southern Highland
zone.
Burudani
ya Muziki kutoka kwa DJ Imma Boy wa Kituo cha kurushia Matangazo na
burudani cha Bomba FM Mbeya, ambao ni waandaji wa Shindano la Miss Mbeya
Mkoa litakalofanyika June 1, Mwaka huu.
Picha zote kwa hisani ya Chimbuko letu Blog
إرسال تعليق