MUKAMA AKUTANA NA BALOZI WA NIGERIA.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia) akiagana na Balozi wa Nigeria hapa nchini, Ishaya Samaila Majanbu, baada ya kuwa na mazungumzo, Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam. Ambapo chama cha mapinduzi kupitia Katibu Mkuu kimeahidi kudumisha uhusiano bora uliopo baina ya Serikali yake na serikali ya Nigeria.
إرسال تعليق