Mzee Warioba aanguka ghafla Serena Hotel; yadaiwa ni uchovu; ni mzima
Chanzo:- Jamii foram
Chanzo:- Jamii foram
Mzee Warioba imeripotiwa kuwa ameanguka huko Serena Hotel lakini yasemwa ni 'dizzy spell' lakini aliweza kuinuka mwenyewe na kupelekwa hospitali. Hali yake inadaiwa ni mzima na wananchi wasiwe na hofu yoyote.
Vyanzo vya kuaminika toka eneo la Serena Hotel vimethibitisha tukio hilo na kutuhakikishia kuwa mzee Warioba anaendelea vizuri na tukio zima linahusishwa na uchovu.
إرسال تعليق