
Tabu Likoko Mkurugenzi wa Idara ya Uwezeshaji Wanawake katika Taasisi
ya (WAMA) akifungua rasmi semina ya wanawake kutoka vikundi mbalimbali
vya kuweka na kukopa vinavyosimamiwa na Taasisi ya (WAMA) kuhusu
huduma za Mfuko wa Bima wa Afya NHIF inayofanyika kwenye viwanja vya
Taasisi ya WAMA asubuhi hii jijini Dar es salaam kutoka kulia pichani
ni Rehani Athumani Mkurugenzi mifuko ya Afya ya Jamii (CHF), Michael
Mhando Mkurugenzi wa Tathmini ya Uhai wa Mfuko na Utafiti na Eugen
Mikongoti Mkurugenzi wa Uendeshaji.

Eugen
Mikongoti Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF) akizungumza katika semina
hiyo jinsi mfuko huo unavyosaidia jamii kupata matibabu, kulia ni
Rehani Athumani Mkurugenzi mifuko ya Afya ya Jamii (CHF) na katikati ni
Michael Mhando Mkurugenzi wa Tathmini ya Uhai wa Mfuko na Utafiti na

Afisa wa Masoko na Elimu kwa Umma NHIF Grace Michael akifuatilia mada
katika semina hiyo, kushoto ni Philomena Marijani Afisa Uraghibishi na
Mawasiliano Taasisi ya (WAMA).

Rehani
Athumani Mkurugenzi mifuko ya Afya ya Jamii (CHF) akitoa mada
mbalimbali juu ya huduma za mfuko wa bima ya Afya, huku washiriki wa
semina hiyo wakimsikiliza kwa makini, katikati ni Michael Mhando
Mkurugenzi wa Tathmini ya Uhai wa Mfuko na Utafiti na kulia Eugen
Mikongoti Mkurugenzi wa Uendeshaji.

Washiriki wa semina hiyo wakiandika mambo muhimu yaliyojadiliwa
katika semina hiyo inayofanyika katika viwanja vya Taasisi ya (WAMA).

Washiriki
wa semina hiyo wakiandika mambo muhimu yaliyojadiliwa katika semina
hiyo inayofanyika katika viwanja vya Taasisi ya (WAMA).

Washiriki
wa semina hiyo wakiandika mambo muhimu yaliyojadiliwa katika semina
hiyo inayofanyika katika viwanja vya Taasisi ya (WAMA).

Tabu Likoko Mkurugenzi wa Idara ya Uwezeshaji Wanawake katika Taasisi
ya (WAMA) kulia na Philomena Marijani Afisa Uraghibishi na Mawasiliano
Taasisi ya (WAMA) ambao ndiyo wenyeji wa wanasemina wakiwa katika
semina hiyo.
Chanzo:- Father Kidevu
Post a Comment