Wakali wa Kili Music Award waanza kuwasha moto Uwanja wa Umoja Mtwara

Mkongwe wa Taarab, Bi Hadija Kopa akitumbuiza jukwaani na kukonga nyoyo za wakazi wa Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi Mkoani Mtwara kwa vibao vyake kadhaa ambavyo vimempa tuzo ya Kili Music  Award 2012
Show ya wakali wa Kili Music Award 2012 ndani ya Uwanja wa Umoja mjini Mtwara ndio imeanza sasa. Pichani ni Mshindi kutoka Mtwara ambaye ataenda kurecord jijini Dar es Salaam Nicolazo akitumbuiza na kuwashinda wenzake wawili.
 Chipukizi wa 3 wa Mtwara waliokuwa wakichuna kutafuta mmoja atakaeenda Kurecord jijini Dar es Salaam kwa udhimi wa Kilimanjaro Lager
 Mashabiki wakifuatilia show hiyo ya kutafuta vipaji.

Shangwe za kumshangilia Chipukizi ambaye ni kipaji kipya cha Kili Music Award kutoka Mtwara
Chanzo:- Father Kidevu

Post a Comment

Previous Post Next Post