SAJUKI AENDA INDIA KWA MATIBABU ZAIDI ACHANGIWA ZAIDI YA FEDHA ZA KITANZANIA 16,000,000

SAJUKI AENDA INDIA KWA MATIBABU ZAIDI ACHANGIWA ZAIDI YA FEDHA ZA KITANZANIA 16,000,000

Msanii wa Bongo Movie Sajuki amesafirishwa mapema kuelekea India kwa ajili ya matibabu zaidi, msanii huyo ambae anasumbuliwa na maumivu ya tumbo amechangiwa na wasamalia mbali mbali zaidi ya kiasi cha Shilingi  Millioni kumi na sita, Fedha hizo zimetumika kununua tiketi tatu na matibabu yake huko  India. 
Hata hivyo wadau wameombwa waendelee kumchangia Sajuki kwa kuwa hata mke wake alipata ajali na kupoteza mguu mmoja, pia na kusaidia huduma zenginezo.

Post a Comment

أحدث أقدم