Taswira ya Bara bara kuu ya Bariadi Mwanza Kupitia Lamadi

Adha kubwa inayowakumba wananchi wa Bariadi ni Miundombinu mibovu ya usafiri, hii ni barabara kuu ya kuelekea Mwanza kupitia Lamadi
Gari la abiria litokalo Bariadi kuelekea Mwanza kupitia Lamadi ikipita katika daraja lililoaribiwa na mvua


Mifugo nayo ilikuwa inapita kwa tabu hapo sehemu iliyoaribiwa na mvua kubwa iliyonyesha jana

Post a Comment

Previous Post Next Post