Adha kubwa inayowakumba wananchi wa Bariadi ni Miundombinu mibovu ya usafiri, hii ni barabara kuu ya kuelekea Mwanza kupitia Lamadi

Gari la abiria litokalo Bariadi kuelekea Mwanza kupitia Lamadi ikipita katika daraja lililoaribiwa na mvua
Mifugo nayo ilikuwa inapita kwa tabu hapo sehemu iliyoaribiwa na mvua kubwa iliyonyesha jana





إرسال تعليق