UTEUZI WA WAKUU WA WILAYA WAKAMILIKA WANAHABARI WAULA ,MADC 51 WATEMWA

Waziri
Mkuu Mheshimiwa MIZENGO PINDA ametangaza Wakuu wapya wa Wilaya huku
Wakuu wa Wilaya 51wa zamani akiwaacha kutokana na sababu mbalimbali
ikiwemo ya kustaafu kazi.
Akitangaza Wakuu hao wapya wa Wilaya mbele
ya Wahariri wa vyombo vya habari nchini, Waziri Mkuu amesema kati ya
Wakuu hao wa Wilaya 133 walioteuliwa wapya ni Sabini wakiwemo Waandishi
wa habari Sita.
Kulingana na Waziri Mkuu kabla ya kutangazwa kwa
Wilaya mpya kulikuwa na Wakuu wa Wilaya 114 ambapo kati ya Wakuu hao wa
Wilaya wa Zamani 63 wamebaki katika uteuzi wa leo na 51 wameachishwa
kazi.
mkuu wa wilaya mkoa wa Mbeya aliyetangaza kujiuzulu atemwa rasmi
Habari zaidi zitawajia yakiwemo na majina ya wakuu hao wa Wilaya.
إرسال تعليق