WASIWASI WATANDA JUU YA KUARIBIKA KWA ZAO LA PAMBA MKOANI SIMIYU





j
Mkulima wa zao la pamba akitoa pamba iliyokuwa tayari kwa hawamu ya kwanza




wakizungumza na blog hii, walisema, Mvua zinazoendelea kunyesha ni hatari katika zao la pamba kwani inaharibu pamba ambayo tayari imeanza kuzaa,
Wakulima hao hawakusita kuzungumzia swala la kilimo cha mkataba, walisema kilimohiko ni kizuri kwani kutokana na ugumu wa maisha serikari itakuwa imewasaidia kwa kiasi kikubwa kwa kuwapatia Mbegu, dawa na baadae kurudisha
Hata hivyo wakulima wengi hawajui nini maana ya kilimo cha Mkataba hivyo kusababisha kutoelewa kitu chochote.

Post a Comment

أحدث أقدم