KLABU ya Barcelona inataka kumchukua kinda wa Manchester City, Joan Angel Roman. Angel Roman, mwenye umri wa miaka 19, alikwenda City miaka mitatu iliyopita akitokea Espanyol, lakini hajatimiza malengo yake.

إرسال تعليق