Cesc Fabregas - Mario Balotelli ni tishio kubwa kwa Hispania

Mario BalotelliMSHAMBULIAJI wa Italia, Mario Balotelli hana mpango wa kurejea Italia - kwa sababu anafikiri mashabiki wa Manchester City wataendelea kumpenda hata kama waliwang'oa England kwenye Euro 2012.

Wakati huo Kocha wa Italia, Cesare Prandelli amesema kwamba wachezaji wake wa Italia hawaihofii Hispania na watatumia muda mwingi kabla ya fainali ya Euro 2012 kuangalia udhaifu wao.

 KIUNGO wa Hispania, Cesc Fabregas amesema kwamba Mario Balotelli ni tishio kubwa kwa Hispania katika harakati zake za kuweka historia.

Post a Comment

Previous Post Next Post