CHELSEA YAIPIGA BAO REAL MADRID

CHELSEA YAIPIGA BAO REAL MADRID 

KLABU ya Chelsea inakabiria kuipiga bao Real Madrid katika kuinasa saini ya Luka Modric, mwenye umri wa miaka 26, wakiwa wanaandaa dau la pauni Milioni 36 kumnasa kiungo huyo.

Habari kamili: Daily Express 

Joao MoutinhoKOCHA wa zamani wa Chelsea, Andre Villas-Boas anataka mchezaji wa Porto, Joao Moutinho, mwenye umri wa miaka 25, awe wa kwanza kumsajili katika klabu yake mpya, Tottenham kwa dau la pauni Milioni 32 azibe pengo la Luka Modric.

 

Post a Comment

Previous Post Next Post