Croatia imeifunga mabao 3-1 Jamhuri ya Ireland, usiku huu
katika mechi ya Kundi C Fainali za Euro 2012. Mabao ya Croatia yalifungwa na M.
Mandzukic dakika ya tatu na 48 na N. Jelavic dakika ya 43, wakati la Ireland
lilifungwa na D. Srna, S. St. Ledger dakika ya 19.
|
Post a Comment