CZECH YAIPIGA 2-1 UGIRIKI

CZECH YAIPIGA 2-1 UGIRIKI

Jamhuri ya Czech imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Ugiriki katika mechi ya Kundi A, Euro 2012 usiku huu kwenye Uwanja Miejski mjini Wrocław. Mabao ya Czech yamefungwa na P. Jiráček dakika ya tatu, pasi ya T. Hübschman na V. Pilař dakika ya sita, pasi ya T. Gebre Selassie, wakati la Ugiriki lilifungwa na T. Gekas dakika ya 53.


Post a Comment

Previous Post Next Post