ECOBANK YAZINDUA PROMOSHENI YA SHINDA BABKUBWA NA ECOBANK LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Mkurugunenzi maendeleo Ecobank katikati Bw;Samwel Ayim akiongea na
waandishi wa habari leo makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es salaam
wakati wa uzinduzi wa promosheni ya shinda Babkubwa na Ecobank
Bw;Samwel Ayim amesema gari ambalo litashindaniwa ni aina ya Hyundai
ix35 kushoto ni mkuu wa kitengo cha Huduma kwa wateja Bi Joyce Mlai, na kulia Head corporate
Bw. Linley Kapya.
Waandishi wa habari wakiwa katika uzinduzi huo wakifuatilia kwa makini yaliojiri kwenye mkutano huo
Bw;Linley Kapya katikati akionyesha gari ambalo litashindaniwa katika promosheni hiyo
Chanzo:- http://www.fullshangweblog.com/
إرسال تعليق