EPIQ BONGO STAR SEARCH YAANZA KWA KISHINDO DODOMA
| Zoezi la kutafuta washiriki wa Epiq BSS mkoani Dodoma lilianza kwa baadhi ya watu akiwemo Madam Rita kuchangia damu. |
| Mmoja wa washiriki wa Epiq BSS akiwa anafanya mazoezi kabla ya kuingia kwenye auditions. |
| Baadhi ya washiriki ya EBSS mkoani Dodoma wakijiandaa kuingia kwenye auditions |
| Majaji Salama Jay, Master Jay and Madam Rita |
| Mshiriki kwenye mbele ya majaji |
| Winner Lucas mwanafunzi wa UDOMaliwashangaza wengi kwa uwezo mkubwa wa kurap. |

Post a Comment