ARSENAL WAKUBALI KUMUUZA VAN PERSIE BEI POA TU, WALCOTT NAYE HUYOOOOO
Hisia
0
HATIMAYE klabu ya Arsenal imekubali kumuuza mshambuliaji wake
Robin van Persie, mwenye umri wa miaka 28, kwa dau la pauni Milioni 30 -
na winga wa Washika Bunduki hao, Theo Walcott, mwenye umri wa miaka 23,
anaweza pia kumfuata Mholanzi huyo katika mlango wa kutokea.
Post a Comment