Ikiwa zimesalia saa chache tu kwa kusomwa bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 Bungeni mjini Dodoma leo Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri mjini
Dodoma leo mchana. Pamoja nae pia alikuwepo Makamu wa Rais, Dk Gharib
Bilal na waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Post a Comment