| Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akimkabidhi Dk Hadson
Nkotagu Gari aina ya Land Cruisel la Mradi wa Ziwa Tanganyika
ambalolimetolewa Chini ya Ufadhili wa Banki ya Maendeleo ya Afrika[AFDB]
hii ni gari ya pili ambayo imetolewa kwa shughuli za Mradi kuboresha
Uvuvi katika Mwambao wa Ziwa Tanganyika,Mikoa ya Kigoma,Rukwa na Katavi
Shughuli hiyo imefanyika Ofisini kwa makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli
Mjini Dar es Salaam[Picha na Ali Meja] |
إرسال تعليق