LIGHTNESS MICHAEL NDIYE REDDS MISS DODOMA 2012
Mshindi wa Taji la Redds Miss Dodoma
2012 (katikakati) Lightness Michael akiwa katika picha ya Pamoja na
Mshindi wa Pili (Kulia) Berinda Mdogo na Mshindi wa Tatu wa taji la
Redds Miss Dodoma 2012 (Kushoto) Nulsa Magambo Mara baada ya Mshindi wa
Taji la Redds Miss Dodoma Kumalizika hapo Jana
Washiriki wa Kinyanganyiro Cha
Kuwania Taji la Redds Miss Dodoma Wakiwa Katika Picha ya Pamoja kabla ya
Kutangazwa Washiriki walioingia Tano Bora
Mshindi wa Kwanza wa Taji la Redds
Miss Dodoma 2012 Lightness Michael akiwa katika picha ya pamoja na
Washiriki wa Shindano hilo.Picha Zote Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
Muda wa Kuonyesha Vipaji sasa hapo ni mauno kwa kwenda mbele
Mmiliki wa mtandao wa Lukaza blog (Wa
Kwanza Kushoto) Josephat Lukaza Akiwa katika picha ya pamoja na baadhi
ya wanafunzi wa UDOM waliojitokeza kuwashangilia Wanafunzi wenzao
walioshiriki shindano hilo
Baadhi ya Wadau waliojitokeza
kushuhudia Kinyanganyiro Hiko huku wengine wakisakata rumba mara baada
ya Dully Sykes Kuwakuna Vilivyo
إرسال تعليق