MADEE KUANZISHA KOMBE LA NG’OMBE KUUNGANISHA VIJANA WA MANZESE, UBUNGO NA KIMARA
Unapoona
jamii imekupa surport ya kutosha kufikia kwenye mafanikio uliyonayo,
basi kuirudishia jamii ama ku give back huwa ndo jambo la muhimu zaidi,
na styles za kugive back zinatofautiana,
hivi
karibuni rapper madee anatarajia ku launch shindano la mpira wa miguu,
litakalojumuisha zaidi ya team 20 ndani ya wilaya kinondoni zitakazokua
zinagombea ng’ombe
madee huyu hapa anafunguka
kombe la ngombe litaanza mwanzoni mwa mwezi wa saba
kwa
nchini marekani moja kati ya rappers waliojaribu kuanzisha mashindano
ni pamoja na snoop dogg mwaka jana alikua na youth football league,

إرسال تعليق