MAJINA 25 YAPITA KAMATI YA UCHAGUZI - YANGA

TAARIFA KWA UMMA

 Kwa miujibu wa kanuni za Uchaguzi za wanachama wa TFF Ibara ya 11(2) na  (3), Kamati ya Uchaguzi ya YANGA inawatangazia kuwa wafuatao wameomba kugombea Uongozi katika klabu ya YANGA kuziba nafasi zilizo wazi za Uongozi wa Kamati ya Utendaji.
Wanachama wenye pingamizi kwa nini muombaji aliyetajwa hapa chini aiteuliwe kugombea nafasi alioomba,  wawasilishe pingamizi kwa Katibu wa Kamati ya Uchaguzi ya YANGA, makao makuu ya klabu Dar es salaam, kuanzia tarehe 14 Juni 2012 hadi tarehe 18 Juni 2012 saa 10:00 Alasiri
Waombaji Nafasi ya Mwenyekiti wa YANGA
1. SARA RAMADHANI
2.YUSUF MANJI
3.JOHN P.JEMBELE
4.EDGAR CHIBULA

Waombaji wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa YANGA 
1.YONO KEVELA
2.AYOUB NYENZI
3.ALLY MAYAY
4.CLEMENT SANGA

Waombaji wa Nafasi ya Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa YANGA
1.PETER HAULE
2.JAMAL KISONGO
3.BEDA TINDWA
4.AARON NYANDA
5.ABDALLAH MBARAKA
6.JUMANNE MWAMENYWA
7.EDGAR FONGO
8.GEORGE MANYAMA
9.SHABAN KATWILA
10.YONO KEVELA
11.AHMED W. GAO
12.OMARY A. NDULA
13.RAMADHAN Y. MZIMBA
14.GAUDISIUS ISHENGOMA
15.RAMADHAN SAID
16.JUSTINE BARUTI
17.MUSA V. KATABALO

Post a Comment

Previous Post Next Post