Mbunge wa Ubungo John Mnyika
kwa ruhusa ya Chadema ametolewa kwenye bunge leo kutokana na kukataa
kufuta kauli aliyoitoa iliyosema ‘tumefika hapa tulipo kwa sababu ya
udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa sababu ya wabunge na bunge, na
tumefika hapa tulipo kwa sababu ya upuuzi wa CCM’
Sauti zote kuhusu hii ishu ya
bunge leo ninazo tayari, utazisikia kwenye AMPLIFAYA leo kuanzia saa
moja usiku kwenye list ya habari kumi za siku on CLOUDS FM.. pia unaweza
kusikiliza online kupitia cloudsfm.com
إرسال تعليق