MANJI AJICHUKULIA FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI, AMCHUKULIA NA BEN KLEB YA UMAKAMU MWENYEKITI
| Yusuph Manji |
Muda
mchache uliopita nilitoa taarifa za kuhusu Yusuph Manji kuchukua fomu za
kugombea uenyekiti wa klabu ya Yanga, bila kuwepo kwa uthibitisho
kwamba amechukua kwa ajili yake au kamchukulia mtu.
| Ben Kleb akimkabidhi jezi Haruna Niyonzima |
Lakini
sasa kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa mmoja ya wajumbe wa kamati ya
uchaguzi wa Yanga, amethibiisha kwamba Manji amejichukulia fomu mwenyewe
ya kugombea uenyekiti, huku akimchukulia aliyekuwa mjumbe wa kamati ya
usajili Abdallah Ahmed Bin Kleb fomu za kugombea umakamu mwenyekiti.
Chanzo:- http://www.shaffihdauda.com/
Post a Comment