Namba ya simu ya Dkt. Mwanyembe kwa ajili ya wananchi kuwasiliana naye Namba ya simu ya Dkt mwanyembe kwa ajili ya wananchi kuwasiliana naye.

Katika mkutano wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, uliofanyika kwenye viwanja vya Jangwani hapo jana, Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe alitoa namba yake ya simu kwa ajili ya mawasiliano na Wananchi.

Alisema mwananchi anaweza kumpigia simu namba 
0782 242 526 wakati wowote  atakapokumbana na adha yoyote kwenye sekta ya usafiri.

Post a Comment

Previous Post Next Post