Katika
mkutano wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, uliofanyika kwenye viwanja vya
Jangwani hapo jana, Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe
alitoa namba yake ya simu kwa ajili ya mawasiliano na Wananchi.
Alisema mwananchi anaweza kumpigia simu namba
Alisema mwananchi anaweza kumpigia simu namba
0782 242 526 wakati wowote atakapokumbana na adha yoyote kwenye sekta ya usafiri.
إرسال تعليق