Nape Ziarani Singida
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Nape Nnauye akizungumza na
viongozi wa CCM mkoa wa Singida baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi ya
siku moja leo Juni Mosi, 2012.
Katibu
tawala wa mkoa wa Singida, Liana Hassan (wapili kulia) akionyesha
ramani ya jengo la utawala la hospitali ya rufani ya Singida ambayo
ujenzi unaendelea. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Singida, Jerome Alute
Jengo la hospitali
Nape akikagua ndani ya majengo ya hospitani ya rufani Singida
Na Bashir Nkoromo
Chanzo:- Mjengwa blog




إرسال تعليق