NYOTA WA BARCELONA, REAL MADRID KOCHA MPYA SWANSEA

NYOTA WA BARCELONA, REAL MADRID KOCHA MPYA SWANSEA


Michael Laudrup, Mallorca (Getty Images)
KLABU ya Swansea City imethibitisha kumteua Michael Laudrupas (pichani) kuwa kocha wao mpya, kutoka Goal.com.Kiungo huyo wa zamani wa Barcelona na Real Madrid, ambaye awali alizinoa Bronby, Getafe, Spartak Moscow na zaidi siku za karibuni alikuwa Real Mallorca, amesaini mkataba wa miaka  miwili kupiga mzigo Uwanja wa Liberty.

Post a Comment

Previous Post Next Post