NYOTA WA BARCELONA, REAL MADRID KOCHA MPYA SWANSEA

KLABU ya Swansea City imethibitisha kumteua Michael Laudrupas (pichani) kuwa kocha wao mpya, kutoka Goal.com.Kiungo huyo wa zamani wa Barcelona na
Real Madrid, ambaye awali alizinoa Bronby, Getafe, Spartak Moscow na
zaidi siku za karibuni alikuwa Real Mallorca, amesaini mkataba wa miaka
miwili kupiga mzigo Uwanja wa Liberty.
إرسال تعليق