Imethibitishwa kuwa Waziri wa
usalama wa taifa wa Kenya George Saitoti pamoja na msaidizi wake Joshua
Ojode ni miongoni mwa watu saba waliofariki dunia kwenye ajali ya
helicopter ya Polisi iliyotokea kati ya saa tatu au saa tano leo asubuhi
huko Ngong Kenya.
Citizen Tv wameripoti kwamba
inaaminika chanzo cha ajali ni kutokana na hali mbaya ya hewa ambapo
helicopter hiyo ilikua na marubani wawili akiwemo mmoja wa kike.



















Post a Comment