PICHA ZA AJALI YA ELKOPTA ILIYOUA MAWAZIRI HII LEO

.
Imethibitishwa kuwa Waziri wa usalama wa taifa wa Kenya George Saitoti pamoja na msaidizi wake Joshua Ojode ni miongoni mwa watu saba waliofariki dunia kwenye ajali ya helicopter ya Polisi iliyotokea kati ya saa tatu au saa tano leo asubuhi huko Ngong Kenya.
Citizen Tv wameripoti kwamba inaaminika chanzo cha ajali ni kutokana na hali mbaya ya hewa ambapo helicopter hiyo ilikua na marubani wawili akiwemo mmoja wa kike.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Waliofika kwenye eneo la tukio.
.
.
.
Picha na Story kutoka Citizen Tv

Post a Comment

أحدث أقدم