Wanachama wapya wa Simba wajiunga ndani ya Tawi lao Magomeni Leo

Mwenyekiti
wa Simba tawi la Magomeni Gadner Dibibi akiwa na Kombe la Simba leo
wakati wa ugawaji wa kadi za Wanachama wapya wa Club hiyo.



Makamu Mwenyekiti wa Simba Sport Club, Kabulu Nyange akitoa kadi kwa wanachama wapya walio jiunga na Club ya Timu hiyo.
Picha zote na Mwenyekiti wa Simba Tawi la Magomeni Bwana Gadner Dibibi
إرسال تعليق