
Mshindi
wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela Michael (katikati)
akiwa pamoja na mshindi wa pili,Diana Simon (kushoto) na wa
tatu,Wilhemina Mvungi (kulia) muda mfupu baada ya kumalizika kwa
kinyang'iro hicho,usiku huu kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini
Dar.

Mshindi
wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela Michael (katikati)
akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wengine wa tano baada ya
kumalizika kwa kinyang'iro hicho,usiku huu kwenye Ukumbi wa Da' West
Park,Tabata jijini Dar.

Tano Bora.

Kumi Bora.

Washiriki Wote wakipita kwenye steji.

Vazi la Ubunifu.

Vazi la Ufinweli.

Burudani kutoka kwa Warembo hao.


Mashujaa wakifanya shoo kali ndani


Muimmbaji kiongozi wa Bendi ya Muziki wa Taarab ya Mashauzi Classic,Isha Mashauzi akifanya vitu vyake.


Majaji wakiweka mambo sawa.

Miss Tanzania 2011/12,Salha Israel akiwa pamoja na Jeniffer Kalokola mshindi wa tano wa Miss Tanzania 2011/12.

Wakuu wa simm tanzani

Majaji wakijiandaa kumtangaza Redd's 2102 usiku huu.




Watu Kibao walifurika kwenye onyesho hili la urembo ndani ya Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa leo
Post a Comment