Mgeni
rasmi ambaye pia ni Mkuu mpya wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mh Leph Gembe
akiingia Ukumbini huku akisindikizwa na Mwenyekiti wa taasisi ya
wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma(UDOMSSO) aliyemaliza muda wake Bw Emmanuel Misungwi katika ukumbi
wa veta uliopo Mkoani Dodoma katika Sherehe ya kuwaaga mwaka wa tatu
wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia ya chuo kikuu cha Dodoma
(UDOM)
Mgeni
rasmi ambaye pia ni Mkuu Mpya wa Wilaya ya Dodoma Mjini (Wa Pili
Kushoto)Mh Leph Gembe akiwa katika Picha ya Pamoja na baadhi ya Viongozi
wa taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya
Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOMSSO) ambao wamemaliza muda wao ambapo wa
kwanza kushoto ni Mwalimu mlezi wa taasisi hiyo Bw. Jeremiah katika
sherehe ya Kuwaaga wanafunzi wa mwaka wa tatu wanaosoma shahada ya
kwanza ya sosholojia
Baadhi
ya wanafunzi wa mwaka wa tatu ambao wanasoma shahada ya kwanza ya
sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiingia ukumbi kwa staili ya
kucheza kwaito katika sherehe ya kuwaaga mwaka wa tatu iliyofanyika
katika ukumbi wa veta uliopo dodoma mjini.
Chanzo:- http://freebongo.blogspot.com/
Post a Comment