STEWART AWASILI LEO KUANZA KUISUKA AZAM YA UBINGWA KAGAME

KOCHA
Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall anatarajiwa kuwasili nchini leo asubuhi
kwa ajili ya kuanza program ya maandalizi kwa mashindano ya kombe la
Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).
Stewart alikuwa nchini Uingereza kwa mapumziko baada ya
Stewart alikuwa nchini Uingereza kwa mapumziko baada ya
kumaliza
msimu uliopita kwa mafanikio ya kutwaamedali ya fedha kwa
kuwa
washindi wa pili wa VPL.
Katibu Mkuu wa Azam FC, Nassor Idrissa jana ameiambia
Katibu Mkuu wa Azam FC, Nassor Idrissa jana ameiambia
tovuti ya
http://www.azamfc.co.tz/ kuwa wataanzamazoezi jioni
kutokana na
kocha huyo kurudi asubuhi ya siku hiyo.
Akizungumzia wachezaji wengine alisema, wachezaji wote
Akizungumzia wachezaji wengine alisema, wachezaji wote
wa kimataifa
wameshawasili tayari kwa kuanzamazoezi hayo wakiwa
pamoja na
wachezaji wengine. Mazoezi hayo yatafanyika kwenye uwanja
wa
AzamChamazi jijini Dar es Salaam.
Idrissa aliongeza kuwa wachezaji waliopo timu ya Taifa ya
Idrissa aliongeza kuwa wachezaji waliopo timu ya Taifa ya
Tanzania
‘Taifa Stars’ watajiunga mara baada yakumaliza michezo yao,
na
wale wa Zanzibar Heroes watarejea nchini baada ya kumaliza michezo ya Kombe
laDunia kwa nchini ambazo sio wanachama wa FIFA.
Aliwataja wachezaji waliowasili kuwa ni George Odhiambo na
Aliwataja wachezaji waliowasili kuwa ni George Odhiambo na
Ibrahim Shikanda kutoka nchini Kenya ambao wotewaliingia
Alhamis,
Tchetche Kipre na Michael Kipre kutoka nchini Ivory na
Joseph Owino
wa Uganda.
Idrissa alisema wachezaji wa Tanzania nao wameshaandaa
Idrissa alisema wachezaji wa Tanzania nao wameshaandaa
mazingira
kwa ajili ya kuanza mazoezi hayowakiwemo vijana kutoka
Azam
Academy ambao wamepanda kuicheza timu kubwa, Aishi
Salum,
JucksonWandwi, Dizana Issa, Ibrahim Rajab ‘Jeba’ na Joseph Kimwaga.
Aidha Idrissa alisema Azam Academy wameshaanza mazoezi
Aidha Idrissa alisema Azam Academy wameshaanza mazoezi
siku ya
Ijumaa isipokuwa wacheza watatu ambaobado hawajawasili
kujiunga na timu hiyo
إرسال تعليق