URUSI YAFANYA MAUWAJI EURO 2012

Russia's Roman Shirokov
URUSI imepanda kileleni kwa Kundi A, baada ya Jamhuri ya Czech mabao 4-1, Alan Dzagoev akipiga mawili katika mechi ya pili ya Euro 2012 usiku huu.
Dzagoev aliifungia bao la kuongoza timu ya Dick Advocaat, kabla ya Roman Shirokov kufunga la pili kufuatia kazi nzuri ya Andrey Arshavin.
Vaclav Pilar aliifungia bao la kufutia machozi Czech kabla ya Dzagoev na Roman Pavlyuchenko aliyetokea benchi kuhitimisha karamu ya mabao ya Urusi.

Post a Comment

Previous Post Next Post