Saturday, June 9

WIMBO MPYA WA NEY WA MITEGO HUU HAPA - NASEMA NAO

Wimbo mpya wa msanii wa kizazi kipya NEY WA MITEGO unaoenda kwa jina la NASEMA NAO, ambao amesema nao wasanii kibao kutokana na mambo yao wanayofanya, Mfano CHID kutoboa PUA. Unaweza Sikiliza na ku - Download hapo chini

Share this

0 Comment to "WIMBO MPYA WA NEY WA MITEGO HUU HAPA - NASEMA NAO"

Post a Comment