YONDAN HAJATIMIZA MIAKA 18, ANASAINI VIPI MIKATABA?

YONDAN HAJATIMIZA MIAKA 18, ANASAINI VIPI MIKATABA?

Yondan kulia akidhibiti Drogba mjini Abidjan Jumamosi iliyopita, Taifa Stars ilipomenyana na Tanzania.

Beki Kelvin Patrick Yondan anadai amezaliwa Oktoba 9, mwaka 1994, ina maana Oktoba 9, mwaka huu ndio atatimiza miaka 18 na kwa mujibu wa sheria, huyu bado ni mtoto na haruhusiwi kusaini mkataba. Amekwishatumikia mikataba miwili Simba SC na sasa amesaini mkataba wa tatu Yanga. Hii imekaaje? Kihistoria huyu anakuwa beki wa tatu kusaini Yanga na baadaye kuikana timu hiyo, baada ya Amri Said mwaka 2001 na Victor Costa mwaka 2005.

Post a Comment

أحدث أقدم