ZENA MONDI AIBUKA MSHINDI WA MISS REDD'S 2012, SINGIDA

Mshindi wa Miss Redd's Singida 2012, Zena Mondi katikati akiwa na mshindi wa pili Rehema Marwa kushoto, wa tatu Eliza Diamond, mara baada ya kumalizika shindano.
Warembo walioingia Tano bora
Katibu wa Nec, itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtunza Khadija Kopa alipokuwa akitoa burudani katika ukumbi wa Aqua mjini Singida

Post a Comment

Previous Post Next Post