ATABAKI KWA GHARAMA YEYOTE - ARSENE WENGER

Robin van Persie (left) and Arsene Wenger (right)KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amevunja ukimya wake juu ya mustakabali wa Nahodha wake, kwa kusema kwamba atambakiza kwa gharama zozote. Wawili hao walitarajiwa kuzungumza kwa simu wakati van Persie akiendelea kuisstiza mkataba mpya wa miaka mitatu na mshahara wa pauni 130,000- kwa wiki.

KOCHA wa Arsenal pia amekataa ofa ya kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, kufuatia kujiuzulu kwa Laurent Blanc.

Post a Comment

Previous Post Next Post