KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amevunja ukimya wake juu ya
mustakabali wa Nahodha wake, kwa kusema kwamba atambakiza kwa gharama
zozote. Wawili hao walitarajiwa kuzungumza kwa simu wakati van Persie
akiendelea kuisstiza mkataba mpya wa miaka mitatu na mshahara wa pauni
130,000- kwa wiki.
KOCHA wa Arsenal pia amekataa ofa ya kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, kufuatia kujiuzulu kwa Laurent Blanc.
إرسال تعليق